Header Ads

Diamond Platnumz na Zari wamepata mtoto wa pili leo December 6

Ni good news nyingine kwa msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye leo December 6 2016 mpenzi wake Zarina Hassan amefanikiwa kujifungua mtoto wake wa pili, Zari na Diamond wamepata mtoto wao wa pili baada ya kupata mtoto wao wa kwanza Tiffah August 2015.
screen-shot-2016-12-06-at-2-37-07-pm
Zari amejifungua leo saa 10:35 alfajiri katika hospitali ya Netcare  Pretoria South Africa lakini Diamond Platnumz amepost kutumia ukurasa wake wa instagram na kueleza furaha yake ila bado hawajampa jina mtoto wao huyo wa kiume.
screen-shot-2016-12-06-at-2-50-49-pm-copy

No comments