Header Ads

PICHA:MISHE MISHE ZA MASANJA MKANDAMIZAJI KUSAKA PESA.

B6

Wengi wetu tuna mfahamu Masanja Mkandamizaji kama mchekeshaji pamoja na utumishi alionao wa Kichungaji…..Ukiacha hilo Masanja ni mjasiliamali na mfanya biashara. Kwa sasa ana Mgahawa maarufu uliopo eneo la Tabata Magengeni  wenye jina MASANJA WALI NYAMA. Unclejimmytz.com imekusogezea mdau wetu picha nne za Masanja Mkandamizaji akiwa kwenye mishemishe za kusambaza chakula mjini.
Kupitia mtandao wa facebook Masanja aliandika sentensi chache za kuonyesha kupigana kwake katika kutafuta pesa pasipo kuangalia nani anamtazama au kumcheka.
B7
B3 B4 B5

No comments