Header Ads

PICHA 22:MAJENGO YA AJABU ZAIDI DUNIANI.

June 13, 2016 nakusogezea picha 22 za majengo yenye muonekano tofauti na majengo mengine uliyowahi kuyaona, Majengo haya  yanapatikana nchi mbalimbali ikiwemo France, Marekani, Korea n.k imejengwa kwa staili ya kipekee kabisa pia usisahau kunidondoshea comment yako chini mtu wangu.
1.Jengo hili limejengwa nchini Poland mwaka 2014 na lenye kuonekana kama jengo linalodondoka.
crooked house
crdhs
2. Jengo hili la nyumba lenye muonekano wa chini juu juu chini limejengwa  kwa siku 114 nchini Poland kwenye kijiji kidogo cha Szymbark mwaka 2013.
upside-down-house-poland
UpsideDownHouse
3. Jengo hili la mfano wa kinanda limejengwa mjini Huainan, nchini China mwaka  2007.
ThePianoHouseHuainanAnhuiChina
piano
4. Jengo hili limejengwa chini ya ardhi ndani ya korongo  nchini  Switzerland.
hill house
5. Nyumba hii iliojengwa juu ya jiwe katikati ya mto na kundi la marafiki nchini Serbia.
river house
6. Nyumba ya jiwe iliyojengwa nchini Portugal mwaka 1973.
stone house
7. Nyumba hii iliyojengwa kwa mfano wa sheli ya samaki mwaka 1960 nchini Mexico.
seashell house
Nautilus-House6-600x400
8. Jengo hili limejengwa nchini Singapore.
singapore
9. Jengo hili limejengwa na linatumika kama makazi ya watu nchini Netherlands.
cubes
10. Jengo la Kingdom Tower jengo lililopo katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia, ni miongoni mwa majengo marefu duniani, lilijengwa kwa gharama ya dola bilioni.
saud
11. Jengo la Cathedral of our Lady of Aparecida ni jengo la kanisa ambalo lipo Brazil, lilijengwa mwaka 1946 hadi 1980, hupokea watalii milioni 10 kila mwaka, huchukua watu zaidi ya 70,000 lina ukubwa wa mita 12,000.
brazil
12.Jengo la nyumba hii yenye shepu ya ndege aina ya Airbus A380, imejengwa uko nchini Miziara, Lebanon.
airplane_house1-600x399

13. Jengo hili iliojengwa kwa mfano wa gari nchini Austria.
gar
garii
14. Jengo hili limejengwa kwa tani 110 za chuma nchini Texas kwanzia mwaka 1973 mpaka 1996.
The-Steel-House2-600x400
The-Steel-House1-600x450
15. Jengo la Crystal Cathedral limejegwa Kjiji cha Garden Grove, California.
cry

No comments