Header Ads

Nape: Ni Upuuzi Mkubwa Mahakama ya Kimataifa ICC Kusema Inaangalia Uchaguzi wa Tanzania Kwa Karibu Kwani si Kazi yao.


Baada ya Muendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) kusema kuwa wanaufuatilia kwa makini uchaguzi mkuu wa Tanzania kuhakikisha hakuna haki za binadamu zitakazo kiukwa, Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema anadhani ni upuuzi kwa mahakama hiyo kusema inaangalia uchaguzi kwani si kazi yao. 

Amesema kama kweli wanafuatilia mambo hayo basi wafuatilie na nchi za Ulaya.

No comments