Kikao cha halmashauri kuu ya Taifa ‘NEC’ ya chama cha mapinduzi ‘CCM’ kimekutana leo December 13 2016 ikulu jijini Dar es salaam ikiwa ni kikao cha kwanza kuongozwa na Rais Magufuli tangu achaguliwe kukiongoza chama hicho tawala July mwaka huu. Hii ni video nzima jinsi kikao hicho kilivyokuwa
Post a Comment