Header Ads

MADIWANI GEITA WAFUNDWA.

madiwani pix
Madiwani wa Wilaya ya Geita wametakiwa kuwa mfano kwa jamii inayowazunguka kwa kubuni miradi mbalimbali ya kimaendeleo itakayoweza kuwakwamua wananchi na kuwaonyesha fursa zilizopo katika maeneo yanayowazunguka.


Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Kinamama Tanzani Khadija Said wakati wakitembelea miradi mbalimbali inayofanywa na Diwani wa Kata ya Busanda Elias Kisome ambae ameanzisha Bustani ya Nyanya kwa kulima kisasa.

No comments