Header Ads

BAADA YA PICHA ZAKE ZA NGONO KUKAMATWA AAMUA KUJIUA.

INASADIKIKA dada aliye pigwa picha za ngono na kusambazwa siku ya harusi yake amejiua kwa kunywa vidonge 30 vya amoxlin mapema jana asubuhi.Hii ni kwa mujibu wa Digital Ayo taarifa iliyochapichwa jana Alhamis jioni kupitia ukurasa wa facebook wa Digital Ayo


‪#‎Habari‬ dada aliye pigwa picha za ngono na kusambazwa siku ya harusi yake amejiua kwa kunywa vidonge 30 vyo amoxlin mapema leo asubuhi.....

No comments