Wilaya ya Mbogwe Yapewa Zawadi ya Gari Kwa Kufanikisha Ushindi wa Kishindo katika Kura za Urais
Mkuu wa Mkoa Fatma Mwassa akiwasili katika Hotel ya Lenny Mjini Geita katika Hafla fupi ya Kujipongeza kwa Ushindi walioshinda Mkoa wa Geita katika nyadhifa mbalimbali (Urais,Ubunge na Udiwani).
Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya ushindi Ignas Athanas akionyesha fungua ya Gari aina ya Noah ambayo Wilaya ya Mbogwe iliibuka na ushindi kwa kupata kura za urais kwa asilimia 77.
Hati za Pongezi zikitolewa
Wanachama wakicheza kwa furaha.
Post a Comment