Header Ads

ORODHA YA FIFA YA TIMU 10 BORA DUNIANI.

Shirikisho la kandanda duniani la FIFA limechapisha orodha ya timu za taifa 10 bora duniani kuanzia mwezi huu wa Februari.

Timu ya taifa ya Ubelgiji imeonekana kuhifadhi nafasi yake ya kwanza tangu mwanzoni mwa mwaka huu kwa kuzingatia matokeo yake ya kuridhisha.

Timu ya taifa ya Uturuki imeweza kusogea juu na kuorodheshwa katika nafasi ya 20.

Orodha kamili ya timu za taifa 10 bora duniani kwa mujibu wa FIFA ni kama ifuatavyo;

1 Ubelgiji 14940

2 Argentina 14550

3 Uhispania 13700

4 Ujerumani 13470

5 Chile 12690

6 Brazil 12510

7 Ureno 12190

8 Colombia 12110

9 Uingereza 11060

10 Austria 10910

Orodha mpya ya FIFA inatarajiwa kuchapishwa tena tarehe 3 Machi 2016.

No comments