Rais Kikwete akabidhi Polisi magari mapya 399 kati ya 777 yaliyoagizwa.
Pichani ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe, Mkuu wa Polisi, IGP Ernest Mangu wakati akikagua sehemu ya magari mapya 399 kati ya 777 aliyokabidhi kwa jeshi la polisi jana Jumanne Oktoba 20, 2015 huko katika Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam.
Picha tumeshirikishwa na Ikulu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.

Sehemu ya magari hayo
Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu akisoma risala kwa Rais Kikwete katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Sehemu ya maafisa waandamizi wa Polisi katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi
Maafisa wa Polisi katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi
Maafisa wa Polisi katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akihutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akikata utepe katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akimkabidhi IGP Mangu funguo za magari hayo katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam jana Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akishukuriwa na IGP Mangu baada ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete akikagua sehemu ya magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.

Rais Kikwete akikagua sehemu ya magari 399 kati ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na maafisa na wakufunzi baada ya kukabidhi sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wakufunzi baada ya kukabidhi sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya madereva na wakufunzi baada ya kukabidhi sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi baada ya kukabidhi sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Picha ya kumbukumbu na makandarasi walioleta magari hayo
Naibu IGP akitoa salamu za shukurani kwa Rais Kikwete
Rais Kikwete akiongea na IGP Mstaafu Dkt. Said Mwema baada ya sherehe hiyo
Sehemu ya magari 399 kati ya 777 yaliyoagizwa.
Post a Comment