MAELFU WAJITOKEZA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA WA UKAWA BUSANDA GEITA JANA.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita jana .
Msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni ukiwasili katika kata ya Katolo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwapungia mkono wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni wa uliofanyika katika kata ya Katolo jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni
akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
umati wa watu.
Post a Comment