Header Ads

HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE YAKANUSHA TAARIFA ZILIZOENEA KUWA BVR MASHINE IMEIBWA.

Kuna uvumi ulioenea kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuwa BVR imepotea katika mazigira ya kutatanisha,akizungumza jana mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale Bi.Fotnata Maria alisema mashine zote(49) alizokabidhiwa  ziko salama isipokuwa kilichopotea ni kompyuta mpakato(laptop)



 Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita.
 Afisa uchaguzi wilaya ya Nyang'hwale Sylivester Steven Kabola akielezea tukio lilivyokuwa na kukanusha kuwa BVR haikuibwa.

Mwenyekiti mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nyang'hwale Bi.Fotnata akiongea na waandishi wa habari jana jumatatu.

No comments