Boti Yapinduka Ziwa Victoria na Kuua Wawili 7:02:00 AM Watu wawili wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakitumia kusafiria kupinduka baada ya kukumbwa na dhoruba kali katika ziwa Victor...Read More
Picha: Rais Magufuli Akiwa katika Ibada ya Kumsimika Askofu Jimbo la Katoliki la Arusha 11:12:00 AM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki katika Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu M...Read More
Rais Magufuli Awamwagia Sifa MSD......"Ninyi ni Wazalendo wa Kweli na Mnachapa Kazi" 9:10:00 AM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa pongezi kwa Bohari ya dawa Tanzania (MSD), baada ya kufanikisha ...Read More
Hata tukiwa Wananchi milioni 1 kama hatufanyi kazi vyuma vitaendelea kubana – Rais Magufuli 5:32:00 AM Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewajibu watu ambao wanaendelea kusema kauli za vyuma vimekaza. Rai...Read More
Serikali yatangaza ajira Elfu 10....Yaeleza namna ya kuomba 5:02:00 AM Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) imetangaza nafasi za kazi 10,000 kwa wananchi wote waliopo nchin...Read More
Sisafiri kwenda nje kwa sababu sio jimbo langu- Rais Dkt. Magufuli 5:10:00 AM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa anapokea mialiko mingi kutoka nje ya nchi lakini amesema ...Read More
Makonda: Aliyesema ametekwa ameuchafua mkoa wetu, Iringa wakimalizana nae wamlete Dar 7:19:00 AM Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda amewataka Polisi wa Mkoa wa Iringa wakimaliza kushughulika na mwanafunzi aliyesema ametekwa wampeleke Dar kwa ma...Read More
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) adaiwa kutoweka Katika mazingira Ya Kutatanisha 7:01:00 AM Taarifa zilizoenea mchana huu zinadai kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, ambaye pia ni mwanafunzi wa ...Read More
Watumishi wa umma walioondolewa kazini kimakosa kurejeshwa 6:54:00 AM Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imezuia uingizaji wa soseji kutoka Afrika Kusini zilizobainika kuwa na bakteria aina ya lis...Read More
Mafuta yapanda bei.....Hizi ni bei elekezi zitakazoanza kutumika Machi 7, 2018 6:52:00 AM Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imetangaza bei kikomo za mafuta kwa mwezi huu huku petroli na dizeli zikiongeze...Read More
Saba Watiwa Mbaroni Mbeya Kwa Mauaji ya Mlinzi Wa SUMA-JKT 4:49:00 AM Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watu saba kwa matukio mbalimbali ya uhalifu, wakiwamo vijana watano wanaodaiwa kuhusika na...Read More
Bashe 'Ajilipua'........Akabidhi hoja binafsi kwa Katibu wa Bunge ya kuchunguza matukio ya Mauaji na Utekaji Nchini 4:47:00 AM Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia matukio mbalimbali yanayojitokeza katika ardhi ya Tanzania na mwisho ameamua k...Read More
Mtanzania auwawa nchini Afrika Kusini 6:14:00 AM Mtanzania aitwaye Baraka Nafari amefariki dunia kwa kugongwa na gari na watu wasiojulikana akitokea katika matembezi. Baraka ambaye al...Read More
Wanafunzi 400 wavamia Nyumba ya Mwalimu na Kufanya Vurugu....Shule Yafungwa Wiki 2 1:10:00 AM Serikali imeifunga Shule ya Sekondari ya Lyamungo iliyoko Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya wanafunzi wake kuzusha vurugu kubwa huku waki...Read More
Moto wa Mshumaa Waua Watoto Wanne Wa Familia Moja 1:00:00 AM Watoto wanne wa familia moja wamefariki dunia kwa kuteketea kwa moto walipokuwa wamelala chumbani katika tukio lililotokea mtaa wa Geita...Read More
Sh1.9 bilioni zatolewa kuboresha vituo vya afya 5:47:00 AM Serikali imepeleka Sh1.92bilioni katika Halmashauri ya mji wa Nanyamba wilayani Mtwara kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa vituo vya ...Read More