Mbasha Amlalamikia Mzazi Mwenzie Kumnyima Mtoto. 2:16:00 AM Msanii wa muziki wa injili nchini Emmanuel Mbasha amefunguka katika ukurasa wake wa instagram kwa kumuandikia barua ndefu aliyekuwa mke ...Read More
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) aliyetoweka Apatikana Mafinga Akiwa Ametupwa 12:29:00 AM Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania , Abdul Nondo ambaye pia ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) aliyeripotiwa kupo...Read More
Kauli ya Serikali Kuhusu Gazeti la Tanzanite Lililomwandika Mange Kimambi 7:49:00 PM Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas imesema imewaita wahu...Read More
MJADALA WA KITAIFA UNAHITAJIKA KUHUSU FAIDA ZA MATUMIZI YA MBEGU ZA GMO KATIKA KILIMO 7:51:00 AM Mwenyekiti wa Kavazi la kwanza la Mwalimu Nyerere kwa mwaka 2018 Dkt. Ng’wanza Kamata ambaye ni mahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es s...Read More
Polisi waongea kuhusu Maandamano yanayozungumzwa Mitandaoni 7:35:00 AM Leo February 26, 2018 Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amezungumza na Waandishi wa habari kuhusu Maandamano am...Read More
Fahamu kabila la ‘Ovahimba’ ambalo mgeni hukaribishwa kwa kufanya mapenzi 3:24:00 AM Wakati dunia nzima ikipambana kuzuia ongezeko la maambukizi ya magonjwa ya ngono kama UKIMWI, Kaswende, Gonorea na magonjwa mengine yana...Read More
Father Raymond: Aliyetekeleza Mauaji ya Mwanafunzi Akwilina Awekwe Hadharani na Aombe Msamaha..... Vinginevyo Hatutafika Mbali 6:10:00 AM Padri Raymond Mayanga wa Parokia ya Yohane Mbatizaji Luhanga amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kumsaka mtu aliyempiga risasi mwanaf...Read More
Trafiki arekodiwa akipewa rushwa 5,000/-, atimuliwa 4:52:00 AM Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Muliro J. Muliro amefunguka na kusema kuwa wamemchukulia hatua za kinidhamu askari p...Read More
Wananchi Bunda stoo walidhishwa na huduma ya umeme ya REA 2:17:00 PM Wananchi wa kata Bunda stoo katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoa wa Mara wameeleza namna wamenufaika na huduma ya umeme wa REA ikiwa n...Read More
Mkurungezi wa mamlaka ya Maji Bunda BUWASA asimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi tuhuma zinazomkabili 2:16:00 PM Imeelezwa kuwa Mkurungezi wa Mamlaka ya maji Bunda BUWASA bwana Mansur Mandemula amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi kufuatia tuhumu...Read More