WANASIASA WAASWA KUACHA IMANI ZA KISHIRIKINA 11:28:00 AM Wanasiasa nchini wametakiwa kuachana na imani za kishirikina hasa kuelekea kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwak...Read More
MILIONI 173.5 ZATOLEWA KWENYE VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WALEMAVU GEITA 8:54:00 PM Mkuu wa mkoa mhandisi Robert Gabriel akikabidhi hundi ya fedha kwa Mwenyekiti wa kikundi cha walemavu cha Ludete Bw,Julius Mashindano. ...Read More
Serikali ya wilaya ya Ngara yatoa Ardhi Ekari 1000 kwa Mwekezaji wa Kikorea. 8:03:00 AM Mwekezaji huyo WON DAE KIM akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Kazingati. Serikali ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera imetoa a...Read More
Daraja la Kwatamara Kata ya Bulega wilaya ya Bukombe Mkoani Geita Lavunjika. 8:02:00 AM Muonekano wa Daraja la KWATAMARA lililokatika kutokana baada ya maji mengi kushidwa kupita katika matundu ya daraja hilo na kupita juu...Read More
Magufuli amnyima kijana nauli, amtaka akalime 7:35:00 AM Rais John Magufuli amemnyima fedha kijana mmoja aliyemuomba kiongozi mkuu huyo wa nchi nauli, wakati alipokwenda kwa mamantilie eneo la...Read More
Lulu Michael Keshaanza Kutumikia Kifungo chake cha Nje kwa Kufanya Usafi Wizarani ya Mambo ya Ndani 7:31:00 AM Mwigizaji Elizabeth Michael maarufu Lulu ameanza kutumikia kifungo chake cha nje kwa kufanya usafi katika ofisi za Wizara ya Mambo ya N...Read More
Kilichosemwa na serikali kuhusu Ada ya mitihani shule binafsi 7:30:00 AM Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema wanafunzi wanaosoma katika shule binafasi wataendelea kutozwa ada ya mit...Read More
Mtumbwi wazama, wanafunzi wawili wafariki dunia 7:29:00 AM Wanafunzi wawili wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wanatumia kuvuka kupinduka na kuzama eneo la Chulwi kitongoji cha Tambani W...Read More
FAMILIA YA MTOTO ALIYEMSHITAKI BABA YAKE YAANZA KUJENGEWA NYUMBA 2:00:00 AM Ujenzi wa Nyumba ya Familia ya Mzee petro Magogwa ambaye ni Baba mzazi wa Mtoto Anthony Petro wa Kijiji Ngundusi ,Kata ya Kabanga wilaya...Read More
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania Yajivunia Ndege ya Emirates kutua Dar...Yasema Imeipaisha Anga la Tanzania 7:10:00 AM Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema kutua kwa ndege ya Emirates Airbus A380-800 kumewaongezea kujiamini katika biashara y...Read More