KUTANA NA SALAMU ZISIZOKUWA ZA KAWAIDA KUTOKA CAMEROON...INACHEKESHA
Tangu waziri wa michezo nchini Cameroon Pierre Ismael Bidoung Mpkatt ainame wakati akimsalimia rais wa nchi hiyo Paul Biya, picha hizo zinazidi kusambaa mitandaoni.
Pierre Ismael Bidoung Mpkatt akimsalimia Paul Biya
Salamu zisizokuwa za kawada Cameroon
Mfano mwingine ulibuniwa.
Huyu naye alishuka hata chini Zaidi.
Huyu jamaa naye aliamua kushuka.
Wanyama pia walishiriki.
Je umeiona hii?
Na hata mbuzi huyu alishirikishwa ambaye picha yake iliwekaa mtandao wa Facebook.
Post a Comment