Header Ads

KITUKO CHA LEO.



Teh!! kuna jamaa mmoja nimemsikia kwenye redio analalamika kuwa amefanya kazi miaka 10 hajaona matunda, nikamuonea huruma sana stori yake.
ikanigusa nimewachukua washikaji zangu ndio tuko njiani tunampelekea maembe na machungwa akayaone halafu turudi nayo.

No comments