Header Ads

PICHA :RAIS MAGUFULI AKIWA MWANAFUNZI WA UDSM MWANZONI MWA MIAKA YA 1990.

52a0d603-a43d-4f0e-a414-b8b57b8ec026
Pichani ni Rais John Pombe Magufuli akiwa mwanafunzi wa Masters ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam miaka ya mwanzo ya 1990.
Dkt Magufuli alishinda kiti cha Urais wa Tanzania Oktoba 2015 na kwa sasa ni mmoja ya viongozi wa kupigiwa mfano barani Afrika kwa vita yake dhidi ya rushwa katika serikali, na jitihada za kuinua hali ya maisha ya wananchi wa kipato cha chini. Picha kwa hisani ya mdau na mhitimu wa UDSM miaka hiyo ya zamani. Kaa nasi kila Alhamis kwa picha za kumbukumbu mbalimbali.

No comments