Header Ads

Makamu wa Rais atoa saa 24 kuwatia nguvuni wale wote waliohusika mauaji Sengerema


Pichani ni makaburi yakiandaliwa kwa ajili ya kuzikwa kwa miili saba ya familia moja mapema jana Wilayani Sengerema .

Mheshimiwa Makamu wa Rais Mama Suluhu Hassan jana alitembelea Wilaya ya Sengerema kata ya Sima ambapo usiku wa kuamkia juzi kulifanyika mauaji ya kinyama ya watu saba wa familia moja ya Mama na watoto wake kuuwawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana. Mhe. Makamu wa Rais Mama Suluhu Hassan ametoa masaa 24 kwa uongozi wa mkoa wa Mwanza pamoja na jeshi la polisi na vyombo vingine kuwatia nguvuni wale wote waliohusika na mauaji hayo.

No comments