Chui akiwa kwenye kisimaMwanaume mmoja kutoka katika kijiji cha Guwahati nchini India amemuokoa chui kutoka kwenye kisima ambako alikuwa amedumbukia.
Angalia picha jinsi ilivyokuwa:
Mawanaume huyo akipanda ngazi huku akiwa amembeba chui huyo
Wananchi wakijitahidi kumvuta mwanaume huyo.
Post a Comment