Header Ads

Wanasiasa, wanamichezo, waigizaji wamlilia binti aliyepigwa risasi

Baada ya taarifa kuzagaa kuwa binti mmoja amefariki dunia kwa kupigwa na risasi na polisi wakati wakiwatawanya wafuasi wa Chadema walioandamana jana Februari 16, 2018 Jijini Dar Es Salaam. Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Mwanasiasa na Mbuge wa Mikumi Joseph Haule, Mwanasheria Msando, Mchambuzi wa michezo Edo Kumwembe, Waigizaji Jackile Wolper na Shilole wameonyeshwa kusikitishwa na tukio hilo.

Walichoandika katika mtandao.




Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kutokea tukio hapo jana wakati wa kudhibiti wafuasi wa Chadema waliokuwa katika maandamano.

No comments