Header Ads

Basi la Kiruto Kutoka Kondoa Kwenda Dar Lapata Ajali Mbaya Gairo na Kuua Watu Kadhaa


Basi la kiruto lililokuwa likitokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali mbaya maeneo ya Gairo ambapo gari hilo limeharibika vibaya na Inasadikiwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.

Tunafuatilia na tutawalete taarifa kamili.


No comments