Bidhaa zenye thamani ya shilingi milioni 51 zimeteketezwa na TRA kushirikiana na TFDA Mbeya
Ernest Myenda ni Afisa Mfawidhi wa forodha Mbeya kitengo cha uzuiaji Magendo, anasema bidhaa zinazotekezwa ni pamoja na ambazo hazijasajiliwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA, ambapo baadhi ni pamoja na maziwa ya kopo, vinywaji mbalimbali zikiwemo dragoni na viloba.
Aidha Afisa Mfawidhi wa Forodha Mbeya kitengo cha Uzuiaji Magendo anasema katika uteketezaji huu pia wameteketeza sigala ambazo zimezalishwa maalumu kwaajili ya nchi za Burundi na Zambia lakini zinatumika nchini.
Post a Comment