Header Ads

WANADADA FAIZA ALLY NA GABO MAMBO YAIVA SASA

12530671_535455813301660_231741592_n
Faiza Ally anatarajia kuachia filamu yake, Baby Mama Drama akiwa na Gabo na mwanae, Sasha.

“Unajua mimi mama ambaye nimekuwa na drama nyingi toka nipate mtoto. Hii ni historia katika maisha yangu, watu wana-judge muonekano wa mtu ndio malezi. Kwahiyo katika filamu hii mimi nitacheza kama mhusika mkuu pamoja na mwanangu Sasha na baba wa familia atakuwa Gabo,” Faiza aliiambia Bongo5 hivi karibuni.
12677524_120772568321338_791521155_n
Mchumba huyo wa zamani wa Sugu, ameshare picha hizo na kueleza kuwa filamu hiyo itatoka soon.

CHANZO na Bongo5.

No comments