PICHA ZA G NAKO AMUONYESHA MPENZI WAKE MTANDAONI
Mapenzi ni kikohozi, hayawezi kufichika. Msanii wa Hip Hop wa Kundi la Weusi G Nako, ameshare picha ya mpenzi wake katika mtandao ya kijamii.
G Nako akiwa mpenzi wake Yasinta.
Rappa huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri video yake ya wimbo OG, ameshare picha ya mpenzi wake instagram na kuandika: From me to you bff lord knows.
Kwa upande wa mwanadada huyo aitwaye Yasinta Juma, siku ya wapendanao aliweka picha instagram akiwa na G Nako na kuandika: Everyday with you is a blessing……Happy Valentine’s day my one and only best friend….. I love you so f**ing much .
Pia mwanadada huyo, aliweka picha mbalimbali na kuandika ujumbe nzuri kuhusu G Nako.
Post a Comment