TAZAMA PICHA WAZIRI NAPE ALIPOTEMBELEA KITUO CHA REDIO CHA STORM FM GEITA LEO.
Waziri wa habari,utamaduni wasanii na michezo Nape Moses Nnauye jana ametembelea kituo cha redio cha 88.9 Storm fm kilichopo mkoani Geita na kukisifia kuwa kinajitahidi katika urushaji wake wa matangazo.
Waziri wa habari,utamaduni, wasanii na michezo Mh.Nape Nnauye akiwa katika studio za 88.9 Storm fm kulia kwake ni mkuu wa wilaya ya Geita Mh.Manzie Omary Mangochie.Waziri Nape akiongea jambo katika studio za 88.9 Storm fm jana Jumatano alipotembelea kujionea utendaji kazi wa kituo hicho kushoto ni mwandishi na mtangazaji wa kipindi cha michezo Richard Bakana(aliyekunja mikono).
MATUKIO MENGINE NJE YA STUDIO.

Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na Michezo Nape Nnauye akiwasili katika ofisi ya Mkoa wa Geita


Kaimu Mkuu wa Mkoa Manzie Mangochie Akifafanua jambo kwa Waziri


Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na Michezo Nape Nnauye akizungumza na watendaji wa Serikali
\
Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na Michezo Nape Nnauye akiwa na viongozi wakielekea ukumbini kuzungumza na Maafisa Habari,Michezo na Utamaduni pamoja na Waandishi wa Habari na Viongozi wa Vyama vya Soka Mkoani Geita.



Waandishi wa Habari wakifatilia kwa umakini mazungumzo ya Waziri Nape.




Baadhi ya Wasanii waliohudhuria kikao cha Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na Michezo Nape Nnauye .
Post a Comment