LOWASSA:CCM SASA BASI,SIO BABA YANGU WALA MAMA YANGU.
Hatimaye aliyekuwa waziri mkuu (mstaafu) Edward Lowassa ajiunga Rasmi na Chadema hivi sasa.
Miongoni mwa mambo aliyoyatamka ni pamoja na kuwa hakuridhishwa na mchakato mzima ulivyokwenda kule Dodoma kwamba kulikuwa na kila mbinu kuhakikisha kuwa anafanyiwa hila ukizingatia kuwa yeye ni miongoni mwa wagombea waliokuwa na wafuasi wengi kuliko wenzake wakati wa kutafuta wadhamini.
Mbali na hayo Lowassa pia ameongeza kuwa"CCM SI BABA YANGU WALA MAMA YANGU......" na kuwa safari ya matumaini inaendelea. Paul
Post a Comment