Header Ads

Wakazi Waathiriwa na Milipuko inayofanywa na Mgodi Geita.

Mbunge wa Jimbo la Geita Mjii amewatembelea Wakazi wanaoishi mtaa wa Katoma,Nyamalembo na Compound ambao wamekuwa na madai ya muda mrefu ya kuathiriwa na milipuko inayolipuliwa na mgodi wa Dhahabu wa Geita.
Wakazi hao wamedai kuathirika kiafya pamoja na nyumba zao kupata nyufa na wengine kubomoka na kumuomba Mbunge kuangalia namna ya kuwasaidia wakazi wa maeneo hayo.

No comments