Header Ads

Lowassa: Utajiri Wangu Usitumike kwa Lengo la Kuchafuana Katika Siasa, Ndugu zangu Aliyepata Amepata


Mkubwa wa kazi ambaye amewahi kushika nafasi kubwa za uongozi katika taifa hili na mwenye kasi ya ajabu katika medani za siasa, uchumi katika chama chake, amekuwa akiwaonya wapinzani wake kutotumia kete ya mali zake kama njia ya kumchafua ki siasa.

Amesema hapendezwi na hilo, na jambo hilo halina tija kwa siasa zetu za Tanzania, kuna mijadala mingi ya ki taifa ya kujadili kwa maendeleo yetu na siyo mali zake kwani anazo mali za kawaida kuliko inavyozushwa.

Kakazia kwamba wapinzani wake wasijikite katika mali zake kwani "ALIYEPATA AMEPATA".

No comments