BREAKING NEWS!!! SHEKH ISSA PONDA AACHIWA HURU NA MAHAKAMA.
Mahakama ya Hakimu mkazi Morogoro imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.
Shekh Ponda alikuwa akikabiliwa na kesi ya kufanya uchochezi katika maeneo mbalimbali mjini Morogoro na kukaidi agizo la mahakama la kumtaka asifanye kosa lolote katika kipindi cha miezi 12.
Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea PAULBAHEBE nasi tutazidi kukusogezea zaidi.
Post a Comment