Header Ads

HATIMAE TAMASHA LA KUHAMASISHA SOKA KWA WANAWAKE LILILOFADHILIWA NA FIFA KITAIFA LAMALIZIKA GEITA.

Tamasha hilo lililopewa jina la GRASS ROOT chini ya ufadhili wa FIFA lilimalizika juzi Jumapili mkoani Geita ambapo sambamba na hilo kulikuwa na mafunzo ya walimu wa shule za msingi kwa lengo la kuinua na kukuza mpira wa miguu kwa wanawake nchini.

 Walimu kutoka shule mbalimbali za msingi mkoani Geita wakipewa mafunzo ya ukocha.

 Moja kati ya wanafunzi Mkamba Mirembe kutoka wilaya ya Chato akiwa katika mafunzo ya ukocha.
 Afisa michezo wa Wilaya ya Bukombe Jennifer Kisusi akiongea na mwandishi wa michezo Richard Bakana wa 88.9 STORM FM.
 Mkamba Milembe akizungumzia furaha yake kwa kupatiwa mafunzo hayo.
 Baadhi ya wachezaji na mabalozi kutoka timu ya Twiga stars.
Timu ya wanawake wa mkoa wa Geita GEITA QUEENS.

No comments