Header Ads

BAADA YA USHINDI DIAMOND NA DAVIDO WAWEKA WAZI UJIO WA COLLABO YAO MPYA.

Baada ya wote kuibuka washindi wa tuzo za MTV mama 2015 zilizotolewa jumamosi iliyopita  Durban Afrika kusini Davido na Diamond wameeleza kuhusu ujio wa collabo yao mpya.
Diamond aliibuka na tuzo ya "Best live act" huku Davido akinyakua tuzo kubwa ya Best male.

No comments