Header Ads

TRENI YA ABIRIA YAANGUKA UVINZA - KIGOMA IKITOKA DAR ES SAALAM

Treni ya abiria iliyokuwa inatoka Dar es salam kwenda mkoani Kigoma imeanguka katika eneo la Malagarasi Wilayani Uvinza jion  ya leo tar 28, 2, 2018, huku chanzo cha ajali hiyo kikielezwa kuwa ni kichwa cha treni hiyo kuhama nje ya njia yake na kupelekea behewa mbili kuanguka. Taarifa za awali zinasema kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha.

No comments