MTI WASIMAMA TENA BAADA YA KUANGUKA KWA ZAIDI YA MIAKA MINNE MKOANI GEITA.
Katika hali isiyo ya kawaida mti uliokuwa umeanguka kwa zaidi ya miaka minne na kukauka,umeamka na kusimama wenyewe.
Tukio hilo limetokea leo katika kijiji cha Samina kilichopo Wilayani na mkoani Geita huku likiwashangaza wengi na kupelekea baadhi ya watu kukata magome ya mti huo pamoja na mizizi yake kwa madai kuwa ni dawa inayopatikana kutoka katika miti ya maajabu!
Tazama hapa picha mbalimbali za tukio hilo....
Baadhi ya wananchi waliofika eneo ulipo mti huo wa maajabu wakistaajabia maajabu ya mwenyezi Mungu huku wengine wakikata mizizi na magome ya mti huo.
Zifuatazo ni video za tukio hilo la kustaajabisha;

Hata kama mtu hujui matumizi na maana ya mti huo wewe beba utajua mbele ya safari.
Zifuatazo ni video za tukio hilo la kustaajabisha;
Msikilize mwenye shamba akieleza hali ilivyokuwa;
Mwenyekiti wa waganga wa tiba asili mkoani Geita naye ameyasema haya kufuatia tukio hilo;
Post a Comment