Header Ads

Wakazi wa Nyakabale wafunga Ofisi ya Mwenyekiti

HABARI NA:GEITA INFO
Wakazi wa kijiji cha Nyakabale Mjini Geita wamefunga Ofisi ya Mwenyekiti wa Mtaa huo kwa madai ya kutochukua hatua zozote juu ya madai ya matukio ya uonevu yanayofanywa na vijana wa Polisi jamii kwa wakazi wa maeneo hayo.
Wakizungumza wakati wa kufunga Ofisi wamesema hivi karibuni la Mwendesha boda boda Paulo Nyekikelege kushambulina sehemu mbalimbali za mwili wake na polisi jamii hali iliyomsababishia majeraha lakini wananchi pia wamekuwa wakibughudhiwa hali ambayo wamedai isipodhibitiwa wananchi watachukua hatua wenyewe.

No comments