April 13 mwaka 1922, alizaliwa mpigania uhuru wa Tanganyika na mwasisi wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere. Hayati Mwl.Nyerere alifariki dunia mwaka Octoba 14,1999 akiwa na umri wa miaka 77.
Post a Comment