Header Ads

KUTUMIA DAMU KATIKA VIDEO ZANGU NI SIGN YANGU:NEY

Image result for ney wa mitegoIMG-20140725-WA0027



Ney wa Mitego amesema kufanana kwa video zake mbili ile ya "SINA MUDA" na ile ya "Mr Nay" sio kwa bahati mbaya bali ni kutokana na damu ambayo amekuwa akiitumia kama alama kwenye video zake.

"Hii ni video ya pili naifanya hivi na kutakuwa na video nyingine ya tatu ambayo itakuwa na vitu kama hivyo"alisema. "Hii ni kama sign yangu!

No comments