Header Ads

VIDEO:ERIC OMONDI ALIVYOIRUDIA MOVIE YA SARAFINA.

Eric Omondi ni mchekeshaji ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia amekuwa na utundu wa kuziigiza na kuzirudia nyimbo za mastaa mbalimbali.
Time hii kairudia sehemu ya movie ya ‘Sarafina’, unaweza kuitazama hapa chini, ukishaitazama usiache kutupia comment yako.

No comments