Header Ads

HATIMAYE: Mmiliki wa Jamii Forums Atoka Selo Baada ya Kupatiwa Dhamana leo

Maxence Melo amepatiwa dhamana  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kukaa mahabusu kwa takribani siku 7.

Anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuendesha
tovuti ambayo haijasajiliwa nchini.

No comments