SALAMA AACHANA NA SIGARA KWA MWEZI WA TISA SASA.

Inawezekana ulikuwa hujui kama Mwanadada Salama Jabir aliwahi kuwa mvuta sigara mmoja mzuri tu,lakini wahenga walisema "PENYE NIA PANA NJIA" aliamua kuachana kabisa na matumizi ya Sigara japo sina uhakika ni nini kilimpelekea kuachana na uvutaji wa sigara.!
Kupitia account yake ya Twitter Salama jana aliandika
IT HAS BEEN NINE MONTHS SINCE I QUIT SMOKING...WOW! Ni miezi tisa sasa tangu niache kuvuta sigara..Waooh!
It's Been Nine Months Since I Quit Smoking... Wow!
Baada ya post hiyo coments mbalimbali zilimiminika zikimpongeza kwa hatua hiyo kubwa na wengine kutamani kuacha wakiuliza ni njia gani ametumia kuacha hicho kitu.
Salama Zalhata Jabir
Post a Comment