JIMBO LA CALIFORNIA KUJIONDOA MAREKANI?

Baada ya matokeo kubainika na Donald Trump kutangazwa kuwa rais wa Marekani ,California ambalo ni jimbo lenye wafuasi wa chama cha Democrats cha Hillary Clinton kimeripotiwa kutaka kujiondoa kama mojawapo ya majimbo nchini Marekani.
Kupitia mitandao ya kijamii wakaazi wa jimbo la California wameanzisha kampeni huko katika mtandao wa Twitter kampeni kwa kauli mbiu #CalExit kuanzishwa .

Post a Comment