Header Ads

Diamond: Nitaudhihirishia ulimwengu Afrika Mashariki kuna zaidi ya wasanii


Najua watu wengi  wanahamu ya kuona tuzo za MTV Mama 2016zinazoandaliwa na kituo cha TV cha MTV Base Africa, lakini pia inawezekana kuna baadhi ya watu ambao wamebanwa na kazi na hawatapata nafasi ya kwendaJohannesburg kushuhudia tuzo hizo.
Diamond Platnumz ni moja kati ya wasanii watakaopata nafasi ya kuperform katika tuzo hizo, kama ulikuwa una mpango wa kukosa tuzo hizo hata kwa kuangalia kwenye TV, Diamond ametumia ukurasa wake wa Instagram kukujulisha kwa nini uhitaji kukosa tuzohizo “Tafadhali sana ndugu zangu naomba kesho msikose kutazama tunzo za MTVMAMA…. kijana wenu nimepanga kuwadhihilishia Ulimwengu Kuwa Africa Mashariki kuna zaidi ya Wasanii”.

No comments