Waziri Mkuu Majaliwa na Spika Job Ndugai wamekutana kujadili maridhiano

Ikiwa imesalia siku moja kabla ya mkutano wa nne wa bunge la kumi na moja kuanza hapo kesho September 6 2016 leo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Spika wa bunge Job Ndugai pamoja na viongozi wengine katika ofisi za bunge zilizopo Dodoma kwa lengo la kufanya kikao cha maridhiano ya vyama vyote.
Hapa ninazo picha tano wakati wa majadiliano hayo yalipokuwa yakifanyika..

Spika wa bunge akiongoza kikao cha maridhiano

Waziri mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Spika wa bunge Job Ndugai


Kutokea kushoto Waziri Jenista Mhagama, Spika wa bunge Job Ndugai na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Post a Comment