Picha Mbalimbali Za Kusimikwa Kwa Askofu Wa Jimbo La Geita Flavian Kassala
Viongozi wa Kiserikali wakiwasili Jimboni kwa ajili ya kushuhudia ibada ya kusimikwa kwa Askofu Flavian Kassala.
Viongozi mbalimbali wawakiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa.
Waumini waliohudhuria katika ibada ya kusimikwa.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Yuda Ruwaichi akizungumza na waumini waliojitokeza katika ibada ya kusimikwa.
Askofu Mteule Flavian Kassala akiwa katika hatua ya awali ya kusimikwa
Askofu Flavian Kassala akiwa ameshasimikwa rasmi kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Katoliki Geita
Post a Comment