Header Ads

MTANGAZAJI WA STORM FM HELEN MADUHU LEO MARCH 11 ASHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE.

Mtangazaji wa 88.9 STORM FM ya Geita leo ametimiza miaka kadhaa.

Akiongea na PAUL BAHEBE amesema kuwa anamshukuru Mungu kwanza kwa kumfikisha mwaka huu,kuwa mmoja kati ya wanafamilia wa STORM FM na kuongeza kuwa anayo malengo makubwa zaidi katika maisha.PAUL BAHEBE inamtakia maisha marefu na yenye mafanikio makubwa.

             Mtangazaji wa 88.9 STORM FM 

                                      Helen Mduhu

No comments