Header Ads

MO-FEDHA KUJA NA VIDEO YA NTAKUJALI.

Msanii chipukizi wa Bongo fleva Mo fedha kutoka Geita anayetamba kwa nyimbo kama Forever na Dori dori,hivi karibuni amethibitisha ujio wa  video yake mpya ya wimbo wa "Ntakujali"
"Ofcourse mashabiki wangu wategemee vitu vizuri katika video hiyo kwani nimejipanga vya kutosha "alisema Mo alipokuwa akiongea na Paul Bahebe blog hivi karibuni.

Hebu tutazame moja kati ya kazi zake hapa;


No comments