Kanye West na Wiz Khalifa wamaliza bifu yao.
Muda mfupi baada ya Kim Kardashian na Amber Rose kupiga picha pamoja, Kanye West na Wiz Khalifa wamemaliza bifu yao.
Kanye ametweet kueleza kuwa amezungumza na Wiz na maongezi yalikuwa ‘positive.’
Awali kabla ya hapo picha ya Kim na Amber kwenye Instagram ilizua mjadala hasa ukizingatia kuwa Amber aliingilia ugomvi wao na kumtukana Kanye.

Post a Comment