Header Ads

USIPENDE NGONO SANA KUPITA KIASI.


Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida Nyingi,lakini linapo kuja swala la ku zidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.kuna watu ambao hawawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kilia siku anatumia'chakula cha usiku' kwa sababu tu hakuna wakumkataza na kwamba anahaki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari.
Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine,lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi Kati ya watu wa nao lalamika kupoteza hisia za kimapenzi kutoka katika kundi la watu wapenda ngono.
Pamoja na tatizo hilo yapo madhara mengine mengi ambayo Mtu asiye kuwa na kiasi katika tendo landoa anaweza kukabiliana nayo,hivyo ni vyema tukajifunza ili tusiwe watu wakuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapo kutana hata kwenye nguzo ya umeme chini ya mti kwa vile tu miili imetaka kafurahika.
Twende pamoja katika kutambua madhara hayo kwa kina.
KUPOTEZA HAMU YA TENDO
Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza haraka hisia za kufanya mapenzi kwa wenzi wao kutokana na sababu za kisaikolojia zinaweza kujitokeza Wakati. Waufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara.
Sababu hizo ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi chakukosa msisimko hata Anapo muona akiwa mtupu.
Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza. Kutokana na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi napengine kutanda kimoja au chumba kile kile ,jambo ambalo linaweza kumfanya muhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo hupoteza hamu naye na kihisi kama hawezi kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.
KUU JAZA MWILI TAMAA KUBWA
Tabia ya kufanya mapenzi. Mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo humfanya mhusika asiwe Mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya nae mapenzi na kwa wakati gani.
Watu wana jiendekeza katika kufanya. Mapenzi. Mara kwa mara ndio wale ambao kila wanae mtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake.
Unakuwa Mtu wa kufanya. Mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wakuizuia tamaa yako.mwinza wako akiondoka siku mbili utatamani uwe na yeyote aliye karibu yako ili akukate kiu ya penzi.
KUPOTEZA RAHA KAMILI YA TENDO
Raha ya tendo hutegemea na hisia iliyo kuzwa kutokana na mapenzi sahihi au kuwa na kiu ya kufanya mapenzi,hivyo basi ukiwa Mtu wa kufanya mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako.
Kama ni mapenzi utakua unafanya kwa mazoea tu na msisimko. Wako Utakuwa mdogo!
KUPOTEZA NGUVU ZA MWILI
Mazara mengine yanayo weza kupatikana kwa kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili.
Kama tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi,hivyo huufanya mwili uchoke.
Aidha lishe inapo kuwa ndogo kwa wafanya mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko ya kimaisha.
Sambamba na hivyo mbegu za uzazi zinazo toka kwa wanaume wafanyao mapenzi mara kwa mara huwa dhaifu.
KUPATA MAGONJWA
Wanao fanya mapenzi mara kwa mara huwa holela ambayo huweza kuwa sabababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi,lakini ufanyaji wa mapenzi usiyo kuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wana wake huwa fanya waishiwe misisimko na huzi fanya sehemu zao za siri kuto toa ute unao weza kuwakinga na michubuko wakati wakuja miiana na hivyo huwa sababishia michubuko itayo weza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa na ukimwi ukiwemo.

No comments