Header Ads

Ukubwa wa Mipaka Inachangia Kuingia kwa Wahamiaji Haramu.

Ukubwa wa mipaka na uwezo mdogo wa Serikali kuilinda kikamilifu imedaiwa kuwa ndio chanzo kikubwa kinachopelekea kila kukicha Wahamiaji haramu kuingia nchini na kufanya kazi na wenfine wakitumia kama njia kwenda katika nchi zingine.
Mkoani Geita kwa mwezi januari 2016 wamekamatwa wahamiaji Haramu 57 walioingia kupitia njia za panya na baadhi yao kuishi zaidi mwaka mmoja na wengi wao wameajiriwa kama vibarua katika katika mashamba ya mananasi na tumbaku na wengine katika ufugaji.


CREDIT:SALMA MRISHO GEITA

No comments