Header Ads

Google wasapoti Uhuru wa Tanzania

Kampuni ya Google Inc ya Marekani leo wameisapoti nchi ya Tanzania katika maadhimisho ya Uhuru wake kwa kuweka bendera ya Tanzania katika nembo yao.

No comments